News

REAL Madrid imempanga kumuuza mshambuliaji wao wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Jr, katika dirisha hili ikiwa ataendelea ...
GWIJI wa zamani wa Manchester United, Teddy Sheringham amedai kuwa mshambuliaji wa timu hiyo Marcus Rashford “hastahili” ...
SIMBA ina hesabu kali ya kufumua eneo la kipa na unaweza kusema hakuna aliye salama, mezani kwa mabosi wa klabu hiyo kuna ...
MASHABIKI wa Sporting Lisbon wamepaza sauti zao kuhusiana na mshambuliaji wa timu hiyo, Viktor Gyokeres, ambaye anahusishwa ...
WAKATI Dodoma Jiji ikidaiwa kumalizana na aliyekuwa kiungo wa Tabora United, Mkongomani Nelson Munganga, mabosi wa timu hiyo ...
SIKU zinawadia. Uwanja wa Wembley, jijini London, unatarajiwa kuwa kitovu cha dunia ya ngumi Julai 19, 2025, wakati mabondia ...
MASHABIKI wa Simba bado wamepigwa na butwaa baada ya kuona sehemu ya mastaa waliosajiliwa msimu uliopita na kuiwezesha timu ...
HUENDA hii isiwe taarifa njema kwa mashabiki wa klabu ya Simba, lakini inadaiwa hali ndivyo ilivyo, baada ya mabosi wa Yanga ...
BAADA ya msimu wa Ligi Kuu Bara kumalizika, kwa sasa timu zinajitathimini kuona ni wapi walifanikiwa na walikofeli na kikwazo ...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Julai 15, 2025 ilipitia ...
Timu ya Taifa ya Senegal itashiriki Mashindano maalum ya CECAFA yatakayo husisha mataifa manne kabla ya mashindano ya CHAN ...
JUMATANO hii mastaa wa Bongo Fleva, BillNass (32) na Nandy (33), waliadhimisha miaka mitatu tangu wamefunga ndoa na kufanya ...