Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka akihoji wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Star (SBS), kupewa uraia imepangwa kutajwa kwa mara ya kwanza wiki ijayo ...
HUU ni wakati wa kuchanga karata zako vizuri na kupiga maokoto, mtu wangu! Katika ulimwengu huu, kila hatua unayoichukua ni muhimu sana hivyo umakini unahitajika katika kila hatua. Katika ...
UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini unaambiwa Hashim Omary alivishwa jezi ya kipa ...
WAKATI Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah akichekelea kuanza kwa kishindo kibarua, winga machachari wa timu hiyo, Beno Ngassa, amesema mechi dhidi ya Simba itakuwa ngumu lakini ...