KOCHA, Ange Postecoglou nyakati ngumu zimeendelea kumwandama huko Tottenham Hotspur na hilo linaweza kumgharimu kibarua chake ...
KIPA namba moja wa Manchester City, Ederson amefichua kuna kitu amekuwa akikifanya kama imani kwake, kuvaa nguo ya ndani moja kwa kipindi cha miaka minane.
KIUNGO wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema mechi sita zilizobaki ni kucheza kufa na kupona kwani lolote linaweza kutokea ...
WAKATI Kocha Mkuu wa Ken Gold, Omari Kapilima akituliza presha kwa mashabiki, timu hiyo haishuki daraja, habari njema ni baadhi ya mastaa waliokuwa nje kwa changamoto mbalimbali huenda ...
Kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Uganda jana kumeifanya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 ...
Mfadhili wa zamani wa Simba, Azim Dewji amewataka mashabiki wa timu hiyo kuamini kuwa itapata matokeo mazuri katika mechi ya marudiano dhidi ya Al Masry ya Misri, Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja ...
MSHAMBULIAJI wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 27, ameambiwa kuwa ...
KADRI soda inavyosogea kwenda chini ndani ya chupa yake ndivyo utamu unavyozidi. Lile funda la mwisho linapokaribia soda ...
KINDA na fundi wa mpira wa Barcelona, Lamine Yamal pengine ni mchezaji bora kabisa kwenye umri wake kwenye historia ya soka.
KIUNGO wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema mechi sita zilizobaki ni kucheza kufa na kupona kwani lolote linaweza kutokea katika vita ya ubingwa, huku akifichua siri kinachomkwamisha ...
Baada ya kuambulia sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliopita kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Kocha Mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema kesho ...
Kocha Mkuu wa Tabora United, Genesis Mang’ombe amesema hatakubali kuwa mnyonge na kuruhusu kikosi chake kucheza mchezo wa nne ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果