Mpendwa tunaishi katika dunia ambayo tumezungukwa na watu wa kila aina, watu ambao wanatuwazia mabaya na wengine... Vatican imesema Papa Francis ambaye amelazwa hospitalini kwa zaidi ya wiki moja sasa ...
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
Jumla ya fedha hizo zimegawanyishwa kwa mashirika na idara mbalimbali, lakini bajeti ya USAID inajumlisha zaidi ya nusu ya fedha hizo ikipokea takriban dola bilioni 40. Fedha nyingi hutumika ...