Kama huamini fuatilia inapotokea mijadala inayohusisha wasanii katika kutoa hoja wale wa hip hop huzungumza vitu konki sio poa. Unasikiliza msanii anatema hoja za moto mpaka unatingisha kichwa unasema ...
"Nashukuru kila mtu ambaye aliniombea. Pia nilipigana sana. Shukrani za pekee kwa madaktari na wale wote ambao bila shaka waliamini kwamba kwa namna fulani nitakuwa sawa. "Kupitia hili, nimejifunza ...