资讯
BBC ilizungumza na baba yake Musk, Errol, ili kupata ufahamu kuhusu maisha ya utotoni ya Elon, na jinsi maisha hayo yalivyomuandaa kuwa mtu ambaye wengine wanamuita "rais asiye rasmi wa Marekani".
India imetangaza kuwa imefanikiwa kufanyia majaribio mfumo unaotumia teknolojia ya leza kuharibu ndege zinazoshukiwa kuwa zisizo na rubani na makombora ya adui. Jaribio hilo lilifanywa na Shirika ...
Balozi mpya wa Marekani nchini Japani, George Glass, ameelezea matumaini yake kuwa Marekani na Japani zitaafikiana kuhusu suala la ushuru. Glass alizungumza na wanahabari baada ya yeye na mkewe ...
Morogoro. Waluguru ni kabila kuu katika Mkoa wa Morogoro. Wanawake wa Kiluguru wametofautiana kulingana na mazingira ya maeneo wanakotoka, ambapo wanaotoka Mgeta wilayani Mvomero wanaonekana kuwa ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana, amewataka wananchi wa Wilaya ya Ludewa kuwa mabalozi wa uhifadhi wa misitu na mazingira, ...
NI nadra sana kwa mchezaji wenye umri mdogo kutoka Afrika Magharibi kuhamia kwenye nchi za Afrika Mashariki na si tu kuzoea maisha, bali pia kuamua kuifanya nchi hiyo kuwa nyumbani. Lakini kwa ...
Tangazo hilo linakuja kabla ya ziara yake Mashariki ya Kati. Subianto alitoa taarifa ikisema kuwa nchi iko tayari kusafirisha watu waliojeruhiwa na watoto mayatima kutoka Gaza wanaotaka kuhamishwa.
Kiev. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amemfukuza kazi Mkuu wa Utawala wa Kijeshi katika Mkoa wa Sumy nchini humo, Vladimir Artyukh. Vladimir Artyukh amefukuzwa kazi kutokana na madai kuwa alipanga ...
Mashabiki wa Simba ambao wamesafiri kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania wanaamini kuwa timu yao itaimaliza vizuri mechi ya nusu fainali kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, na safari ya Afrika ...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kati ya mwaka 2006 na 2011, Balozi Juma Volter Mwapachu, amefariki dunia jana Machi 28, 2025, jijini Dar es Salaam. Licha ya kushika ...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetangazwa kuwa inastahiki siku chache zilizopita kwa Hazina ya Kujenga Amani kwa kipindi cha miaka mitano, kuanzia mwaka 2025 hadi mwaka 2029. Katibu Mkuu ...
"Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekuwa wazi katika kulaani vitendo vyote vinavyokwenda kinyume na makubaliano hayo." Khiari amebainisha kuwa mashambulizi ya anga ya Israel yanayokadiriwa kufikia ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果