资讯

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na madiwani, utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba ...
Amref Health Africa – Tanzania imepokea msaada wa shilingi milioni 100 za Kitanzania (sawa na takribani dola 38,500 za Kimarekani) kutoka Benki ya NBC wakati wa mbio za NBC Marathon 2025 zilizofanyika ...
VIPINDI vya mashindano ya Miss Universe Tanzania 2025 vinatarajia kuanza kuonekana kuanzia leo Julai 25, 2025 katika king’amuzi cha Startimes Tanzania kupitia Chaneli yake ya ST Swahili lengo likiwa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 itakayoanza kutekelezwa Julai Mosi mwakani. Samia ni Rais wa pili wa Tanzania kuandaa Dira ya Taifa ya Maendeleo akitanguliwa na Rais ...
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania,Tundu Lissu, anazuiliwa jela kwa kosa la uhaini tangu mwezi Aprili 2025. Wiki hii, kesi yake kusikilizwa mahakamani iliahirishwa tena miezi mitatu kabla ya ...
Tanzania itawakilishwa na wanamichezo watatu katika mashindano ya kwanza ya Kamati za Olimpiki za Kitaifa za Afrika (ANOCA).
Aliongeza kuwa Tanzania ni moja ya nchi zinazochangia kwa kiwango kikubwa katika operesheni za ulinzi wa amani duniani, jambo ambalo limeifanya kuheshimiwa na kuaminika zaidi katika nyanja hiyo. “Sisi ...
Kwa muda sasa, kuna mvutano mkubwa unaoendelea hadharani kati ya vyama viwili vikuu vya upinzani Tanzania, CHADEMA na ACT Wazalendo.
Dar es Salaam. Idadi ya watalii walioingia nchini kwa miezi mitano ya mwanzo kwa mwaka 2025 ilifikia 794,102 kiwango ambacho kimevunja rekodi kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, takwimu za Idara ya ...
Katika mkutano wa kimataifa wa ngazi ya juu kwa ajili ya kutafuta suluhu ya amani katika mgogoro wa Israeli na Palestina kwa kuunda mataifa mawili unaofanyika leo Julai 28 jijini New York, Marekani, ...