资讯
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na madiwani, utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba ...
Amref Health Africa – Tanzania imepokea msaada wa shilingi milioni 100 za Kitanzania (sawa na takribani dola 38,500 za Kimarekani) kutoka Benki ya NBC wakati wa mbio za NBC Marathon 2025 zilizofanyika ...
VIPINDI vya mashindano ya Miss Universe Tanzania 2025 vinatarajia kuanza kuonekana kuanzia leo Julai 25, 2025 katika king’amuzi cha Startimes Tanzania kupitia Chaneli yake ya ST Swahili lengo likiwa ...
Tanzania itawakilishwa na wanamichezo watatu katika mashindano ya kwanza ya Kamati za Olimpiki za Kitaifa za Afrika (ANOCA).
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema ziara yake nchini Belarus ambayo ni ya kwanza ya ngazi ya juu tangu nchi hizo zilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia mwaka 1996, imefungua mwanzo mpya ...
Aliongeza kuwa Tanzania ni moja ya nchi zinazochangia kwa kiwango kikubwa katika operesheni za ulinzi wa amani duniani, jambo ambalo limeifanya kuheshimiwa na kuaminika zaidi katika nyanja hiyo. “Sisi ...
Dar es Salaam. Idadi ya watalii walioingia nchini kwa miezi mitano ya mwanzo kwa mwaka 2025 ilifikia 794,102 kiwango ambacho kimevunja rekodi kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, takwimu za Idara ya ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果