WANANCHI wa Kata ya Lukobe, Manispaa ya Morogoro, wameiomba serikali kuona umuhimu wa kujenga barabara ya Kilombero-Mazimbu Farm kwa viwango bora, ili kukabiliana na changamoto ya kujaa maji. Wamesema ...
Mmoja wa viongozi wa zamani wa kisiasa, ambaye pia ni mdau wa maendeleo wa Kata ya Kibosho Kirima, ameungana na wanachama hao kutaka ardhi yao irejeshwe. Katika barua yake ya Agosti 28, 2023, kwa Mkuu ...
Kigoma. Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imepokea fomu ya matokeo ya uchahuzi wa mwenyekiti wa Mtaa wa Livingstone, Kata ya Kasingirima, Manispaa ya Kigoma Ujiji, kuwa kielelezo cha ushahidi wa upande wa ...
Mmoja wa madiwani hao, Victor Mkwizu kutoka Kata ya Ngokolo, aliuliza swali la papo hapo, kwamba ujenzi wa kituo cha polisi katika Majengo Mapya, umechukua muda mrefu na kushindwa kukamilika zaidi ya ...
Mshiriki mwingine wa kikao hicho, Zainabu Kibunju mkazi wa kata ya mitengo ‘’Niwaombe wanawake wenzangu waache vitendo vya ukatili kwa wanaume hasa wale wanaojishughulisha na vitendo hivi kwa wanaume ...
Shimo lililogharimu maisha ya watu watano wakiwemo watatu wa familia moja katika kijiji na kata ya Bulige Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Picha na Amina Mwambo Kahama. Watu ...
Waasi wa vuguvugu la M23 wanasema wameudhibiti mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Wakazi walisambaza video za waasi wa M23 wakishika doria katika mitaa mikuu ya Goma ...
Hilo linathibitishwa na wakulima katika kijiji cha Kinampanda kata ya Mwamalasa mkoani Shinyanga ambao wanaonesha wazi kuridhishwa na elimu waliyopata kutoka kwa wataalamu kuhusu kilimo bora cha zao ...
Bwire ambaye ni mdau mkubwa wa michezo nchini akiwa ni Mkurugenzi wa Kituo cha Kukuza na Kulea vipaji cha Alliance aliwahi pia kuwa mwanasiasa akiwa Diwani wa Kata ya Mahina Jimbo la Nyamagana na ...
Bwire ambaye alikuwa mdau mkubwa wa michezo nchini akiwa ni Mkurugenzi wa Kituo cha Kukuza na Kulea vipaji cha Alliance, aliwahi pia kuwa mwanasiasa akiwa Diwani wa Kata ya Mahina Jimbo la Nyamagana ...
Wanajeshi wa Israeli na wafanyakazi wa kitabibu pia wamekusanyika katika maeneo kadhaa tofauti, wakingojea kuwarudisha nyumbani. Kuachiliwa kwa mateka, kunatazamwa kote ulimwenguni, kumekuja baada ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果