Mmoja wa madiwani hao, Victor Mkwizu kutoka Kata ya Ngokolo, aliuliza swali la papo hapo, kwamba ujenzi wa kituo cha polisi katika Majengo Mapya, umechukua muda mrefu na kushindwa kukamilika zaidi ya ...
Awali, akizungumza katika semina hiyo, mkazi wa Kata ya Uru Mashariki, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Luciana Mushi, alisema ujio wa wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi za Fedha umewafungua ...