Amesema wanaingia kupitia kituo cha mpakani cha Gatumba kilicho karibu na jiji kubwa la Burundi, Bujumbura wakiwa wamechoka na wakiwa na msongo wa mawazo, huku wengi wakiwa wametengana na familia zao ...
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ameonya kwamba mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaweza kusambaa na kuwa vita vya kikanda. Abdalla Seif Dzungu Chanzo cha picha ...