Amesema wanaingia kupitia kituo cha mpakani cha Gatumba kilicho karibu na jiji kubwa la Burundi, Bujumbura wakiwa wamechoka na wakiwa na msongo wa mawazo, huku wengi wakiwa wametengana na familia zao ...