Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.
Imeelezwa katika taarifa ya polisi kuwa watoto hao wamepatikana wakiwa kwa mganga wa kienyeji Kimara Baruti, jijini Dar es Salaam. Watoto hao, wakazi wa Tandika, jijini Dar es Salaam, ni Husna Gulam ...
Yanga iliingia katika mchezo huo ikiwa na kumbukumbu mbaya dhidi ya Al Hilal baada ya kushuhudia mechi ya kwanza tu ya ufunguzi wa kundi 'A', kuchapwa mabao 2-0, jijini Dar es Salaam Novemba 26, mwaka ...
DAR ES SALAAM: BEI za vitoweo katika Mkoa wa Dar es Salaam zimeendelea kuimarika huku nyama ikiendelea kuwa juu ikiuzwa kwa Sh 11,000 hadi 13,000 kwa kilo. Akizungumza na HabariLEO jana Ofisa Mifugo ...
wamesema kuwa hali ya uchimbaji chini ya ardhi ilikuwa mbaya kutokana na ukosefu wa huduma muhimu za kibinadamu na kulazimika kula nyama ya binadamu na mende wakati wote.. Tangu Agosti mwaka jana, ...
"Bosi aliwahi kunishika mkono, nikamsukuma na kukimbia, wanadhani tutajiuza kwa chakula kidogo au pesa. Sijala nyama kwa miezi kadhaa, lakini sitajiuza," anasema. Mume wa Tulane alioa tena nchini ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果