Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.
Hata hivyo, ACT-Wazalendo imesema kabla ya kuunda ushirika huo, kwanza wanapaswa kuungana kushinikiza kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi huku NCCR-Mageuzi ikikumbushia namna ilivyosalitiwa uchaguzi ...