Arusha. Mamia ya wananchi wa Mkoa wa Arusha na mingine ya jirani wamejitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya ...
Katika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia nishati safi kwa ajili ya kazi yao.