Kwa sasa nchi ya Kenya inagubikwa na matukio mengi ya utekaji, jambo lililosababisha mgomo wa wananchi wiki iliyopita kushinikiza kupatikana kwa watu waliotoweka ... Forum for Democratic Change (FDC), ...
Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, serikali ya DR Congo na wapiganaji wa FDLR, kwa kujiandaa kuvamia ardhi ...