“Mheshimiwa waziri, ninayofuraha kukujulisha zoezi (kazi) letu la uchapaji upya wa noti kwa marejeo ya toleo la mwaka 2010, limekamilika na tayari tumewajulisha wananchi kupitia taarifa niliyoitoa ...
Leo walijana pale Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, Dar es Salaam kufuatilia kwenye televisheni mchezo wa ... Matokeo hayo yameifanya Simba ambayo tayari ilishafuzu robo fainali, imalize mechi za ...
Lakini akawahamishia mbele ya nyumba ili aweze kuwaona vizuri wakati akiendelea na shughuli zake za nyumbani. "Niliwaweka kwenye kivuli cha mwembe mbele ya nyumba na wakati nikiwa ndani, nilikuwa ...
DIRISHA dogo la usajili Ligi Kuu Bara na michuano mingine ya ndani limefungwa juzi Januari 15 na tumeshuhudia klabu mbalimbali zikivuta silaha mpya kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi, huku ...
Motsepe alisema kuwa anaamini ifikapo Agosti, miundombinu itakuwa imekamilika tayari kwa kuziwezesha nchi hizo kuandaa Chan. Awali mapema leo asubuhi, Januari 14, 2025 Mwenyekiti wa Kamati ya ndani ya ...