MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kusimamia ukusanyaji wa mapato pamoja na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa hiyo.
MKUU wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amewataka wanafunzi wa kidato cha nne kutoka shule ishirini za sekondari zilizopo katika Manispaa ya Mtwara Mikindani kusoma kwa badii ili kujiandaa na ...