Lengo lake ni kuhamasisha Watanzania kuamini katika uwezekano wa ndoto zao na kuzigeuza kuwa uhalisia. Kauli mbiu ya bahati nasibu hii ni yenye msukumo mkubwa: "Amini. Cheza. Ushinde." Huu si msemo wa ...
WAKATI makocha wa timu zingine wakifikiria kutwaa ubingwa msimu huu, Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, ameibuka na kusema anataka kuweka rekodi ya kuzoa makombe yote ya hapa nchini kwa mara ya kwanza ...