资讯

Umoja wa Mataifa, UN, Aprili 16 ulisema kuwa watu zaidi ya 500,000 wameripotiwa kuyahama makazi yao tena au kuhamishwa huko Gaza tangu Israel ilipoanzisha tena mashambulizi makubwa ya kijeshi ...
Mtoto huyo alichukuliwa na simba kutoka kwa makazi ya watu karibu na Hifadhi ya Kitaifa ya Nairobi, kulingana na shirika la Huduma ya Wanyamapori nchini (KWS) Na Asha Juma Chanzo cha picha ...
JESHI la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Singida, limewataka wananchi kutaja anuani za makazi yao au maeneo maarufu yanayozunguka, ili iwe rahisi kwa jeshi hilo kufika haraka na kutoa msaada pindi majanga ...
Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametembea Qasir la Taifa la Ethiopia ambalo lilikuwa makazi ya Mfalme Haile Selassie. Kikwete alitembelea Qasir hilo kufuatia maombi ya Waziri Mkuu wa ...
Picha na Beldina Nyakeke Serengeti. Wakazi wa Kijiji cha Makundusi, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamelalamikia ongezeko la matukio ya wanyamapori, hususan tembo na simba kutoka Hifadhi ya Taifa ya ...
Kuibuka kwa kundi jipya la wahalifu, "Mahmuda", kumefanya hali ya usalama kuwa ngumu. Hadi wakati huo, sehemu ya kati-magharibi mwa nchi inaonekana kuathiriwa kidogo na mauaji haya ya umati. Siku ...
Wakati mapigano makali ya Sudan yalilipo fika katika mtaa anaoishi Sarah Williams nkatika mki mkuu wa Khartoum, yeye na wanawe walinaswa katikati ya mashambulizi. Risasi zilipenyeza kwenye nyumba ...
Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) kililenga maeneo ya makazi ya jiji kwa silaha nzito. Jeshi la Sudani, kwa upande wake, linadai kuwa limesababisha hasara kubwa kwa FSR. Mapigano kati ya jeshi la ...
Ikiwa imesalia siku moja kabla ya mechi ya nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na Stellenbosch, hali ya Zanzibar imeanza kubadilika kwenye maeneo ya makazi karibu na ...
Alisema baadhi ya makabila, likiwemo kabila la Wanyamwezi walivutiwa na shughuli za kiuchumi hasa katika kilimo cha karafuu kilichosababisha wengi wao kuhamia katika visiwa vya Pemba na kuanzisha ...
Dar es Salaam. Ingawa kuharibika mara kwa mara kwa miundombinu ya barabara kunachochewa na sababu nyingi, kukosekana udhibiti wa malori ya mizigo yanayopita kwenye barabara hizo inatajwa kuwa sababu ...