资讯
Ukiona mti umekauka ghafla, usikimbilie kukata chunguza mizizi yake. Ndivyo ilivyo kwa wanawake wengi wanapoingia kwenye kipindi cha ukomo wa hedhi. Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO ...
Na ndipo tunapoanzia: Simba SC imeshinda bao 1-0 dhidi ya timu hiyo ya Afrika Kusini. Lakini kwa mashabiki wengi wa soka, huu ni ushindi wenye ladha ya kushindwa. Ushindi ambao unaficha udhaifu ...
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest amehoji sababu za kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu wakati anataka mabadiliko. Anatropia ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumanne ...
WATANZANIA wametakiwa kuendelea kuchangia damu kwa hiyari, kutokana na mahitaji makubwa yaliyopo, ili kuokoa wahitaji wakiwamo majeruhi, wajawazito na watoto. Aidha wananchi wametolewa hofu kuwa ...
Ukraine na Urusi, zimelaumiana kwa kuvunja mkataba wa saa 30 wa kusitisha vita kipindi cha Pasaka, mpango uliotangazwa na rais Vladimir Putin, Jumamosi iliyopita. Rais Volodymyr Zelensky ...
Rais wa Kenya William Ruto amewasili Beijing siku ya Jumanne jioni, Aprili 22, kwa ziara ya kiserikali itakayoendelea hadi Aprili 26, kwa mwaliko wa mwenzake wa China. Moja ya malengo ya Nairobi ...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema katika tathmini yake kwenye miradi minne iligundua kuwa Sh. 2,014,922,360 zililipwa kwa fedha taslimu, ikiwa ni malipo ya ...
Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo ...
ZANZIBAR: RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, ameipongeza timu ya Simba ya Dar es Salaam kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini, mmchezo kwa kwanza wa nusu ...
KAMA ulikuwa unajua harusi ya msanii wa Bongo Fleva na muigizaji Priscilla Ojo imeisha basi jua wawili hao mambo hayajaisha na sherehe itahitimishwa hapa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Jux alisema ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果