Kwa mujibu wa mashuhuda ambao ni wakaazi wa mji huo wa Walikale ni kuwa watu walishangazwa siku ya Jumatano kuona waasi hao wa M23 wanaosaidiwa na jeshi la Rwanda RDF wakijiondoa katika ngome zao ...
Kwa mujibu wa taarifa ya CNBC, taifa jingine la Afrika linapangwa kuongoza juhudi za kurejesha mazungumzo ya amani.
Neno "Mji wa Roketi" linatumiwa na Walinzi wa Mapinduzi kumaanisha kambi zao za chini ya ardhi inayohifadhi makombora. Kambi hizi ziko katika mahandaki iliyo chini ya ardhi, inayojengwa katika ...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeielekeza Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara kuhakikisha ujenzi wa hospitali ya mji huo unakamilika kwa wakati ili ...
Microsoft 及第三方供应商将通过浏览器存储、访问您的账号信息,以便持续为您提供良好服务、维护对应广告信息。如果您同意,我们将个性化您看到的内容及广告。您可以通过点击选择“我接受”以示同意,您可以通过点击“管理设置”查看您的选择,并通过 ...
Goma. Kundi la waasi wa M23 limetangaza kuutwaa Mji wa Walikale nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuvifurusha vikosi vya Jeshi la Serikali ya nchi hiyo (FARDC). Taarifa ya M23 ...