Kwa mujibu wa mashuhuda ambao ni wakaazi wa mji huo wa Walikale ni kuwa watu walishangazwa siku ya Jumatano kuona waasi hao wa M23 wanaosaidiwa na jeshi la Rwanda RDF wakijiondoa katika ngome zao ...
Neno "Mji wa Roketi" linatumiwa na Walinzi wa Mapinduzi kumaanisha kambi zao za chini ya ardhi inayohifadhi makombora. Kambi hizi ziko katika mahandaki iliyo chini ya ardhi, inayojengwa katika ...