SIKU moja baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania masjala kuu ya Dodoma kuamuru kuitwa kortini wachezaji watatu wa Singida Black ...
Wateja sita wa Benki ya Akiba (ACB) kutoka matawi mbalimbali wamekabidhiwa zawadi za fedha taslimu pamoja na nyingine baada ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Serikali ya Tanzania imejizatiti kuboresha na kuimarisha sekta ...
Raila Odinga wa Kenya, Mahmoud Ali Youssouf wa Djibouti watamenyana na Richard Randmadrato wa Madagascar kuwania Uwenyekiti ...
Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa ufadhili wa zaidi ya Sh17. 8 bilioni kwa asasi za kiraia 11 nchini Tanzania, kwa lengo la kukuza demokrasia kwa kujenga jamii yenye uwazi, haki, na ujumuishi ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata mtu mmoja anayejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akiwa na ...
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga leo Februari 14, 2025 amemuwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dk. Doto ...
Mahakama Kuu ya Tanzania, masjala kuu ya Dodoma imeamuru kuitwa kortini wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Stars ...
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema sababu ya kuongezeka kwa joto katika baadhi ya maeneo nchini ni kutokana na ...
Kwa mujibu wa tarifa ya Mamlaka hiyo, kwa kawaida vipindi vya jua la utosi nchini hufikia tamati mwishoni mwa mwezi Novemba ...
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeeleza kuwa kumekuwa na ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini hususan ...
Hujambo msikilizaji wa RFI Kiswahili popote pale unapotegea sikio matangazo yetu, makala ni Gurudumu la Uchumi na leo hii ...