Tunaihimiza Serikali kutekeleza mradi huu kwa haraka, lakini kwa uangalifu mkubwa, huku ikiweka misingi imara ya usimamizi, uendelevu na ubora wa huduma.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk.Damas Ndumbaro amesema kutokana na mfumo wa haki kuimarishwa, kwa sasa msongamano wa mahabusu ...