资讯

Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Amend Tanzania, imezindua rasmi awamu ya pili ya kampeni ya ‘Be Road Safe Africa’, mpango wa kimkakati wa usalama barabarani ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita imewahukumu kunyongwa hadi kufa watu watatu wa familia moja kwa kosa la mauaji ya ndugu yao, Joyce Ruhedeka, kwa kumcharanga mapanga, kumnyofoa sehemu za siri na ...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetangazwa kuwa inastahiki siku chache zilizopita kwa Hazina ya Kujenga Amani kwa kipindi cha miaka mitano, kuanzia mwaka 2025 hadi mwaka 2029. Katibu Mkuu ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR leo limeonya kwamba ukosefu wa ufadhili unaweza kuhatarisha maendeleo yaliyopatikana ikiwemo kurejea nyumbani kwa mamilioni ya watu. Katika ...
Inaelezwa matokeo ya kichapo cha mabao 3-0 ilichopokea Jumanne, kutoka kwa Arsenal yamechangia mabosi wa Madrid kufanya uamuzi wa kuachana na kocha huyo ingawa bado mambo yanaweza yakabadilika lakini ...
Simba SC ilipindua matokeo ya kipigo cha 2-0 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Al Masry kwa ushindi wa 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, na baadaye kushinda kwa mikwaju ya ...
Licha ya shinikizo kutoka kwa uongozi wa kijeshi, kundi la askari wa akiba karibu 1,000 wa Israeli wanalaani vita visivyoisha huko Gaza. Wameweka hadharani barua yao siku ya Alhamisi hii ...
BUNGE limeipongeza Serikali na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega kwa kuchukua hatua za haraka kurejesha mawasiliano kwenye barabara ya Kusini. Akizungumza bungeni leo, Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan ...
Mwanza. Mahakama ya Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Kijiji cha Kinamweli, Iddy Makungu (30) kwa kosa la kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi mwenye umri ...
“Tunaingia katika jamii kwa nyanja tofauti kama kilimo, mifugo, elimu, afya, maji na usafi wa mazingira, pamoja na rasilimali za asili. Katika nyanja hizi zote, kuna miradi mbalimbali ambayo ...
Hapo zamani za kale, simu ya ufafanuzi wa teknolojia ilikuwa "simu kwa kila mtu" - na kwa kweli mawasiliano ya simu yameleta mapinduzi makubwa katika biashara (na ulimwengu). Leo, sawa na simu hiyo ni ...
Mwamposa aje kufanya nini uwanjani? Sijui. Labda kuiombea timu. Sawa, hapo nitakubali. Na aanzie pale mbele kwa rafiki zetu wawili, Elie Mpanzu na Kibu Dennis. Kwa mbali kidogo anaweza kumwombea na ...