Maafisa wa Marekani wameendelea kusema mara kwa mara kwamba wahamiaji wasio na vibali nchini humo wanapaswa kuondoka kwa hiari, badala ya kukamatwa na kufukuzwa. Hii ni hatua ya hivi punde zaidi ...
Wanaanga wa NASA Sunita Williams na Butch Wilmore, ambao wamekwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu kwa muda wa miezi 9, hatimaye watarejea duniani. Wanaanga hao walienda kwenye kituo ...
Mkurugenzi Mtendaji wa UN Women, Sima Bahous amekaribisha kwa dhati kupitishwa kwa Azimio la kisiasa juu ya maadhimisho ya miaka 30 ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Wanawake uliofanyika Beijing, ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa kutoa wito wa kuchukua hatua kali kwa ajili ya usawa wa kijinsia, akionya kuwa haki za wanawake ...
Picha na Hadija Jumanne. Dar es Salaam. Wakazi 14 wa Ifakara mkoani Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 52 yakiwamo ya kujipatia fedha kwa njia ya ...
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi akimkaribisha Mwenyekiti na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso katika ziara yao kwa Mamlaka ya ...
MWANAMKE wa Kikenya, amekamatwa kwa usafirishaji wa dawa za kulevya huko Vietnam. Imepangwa kunyongwa kesho. Vietnam ina sheria kali zaidi duniani kuhusu dawa za kulevya, ikiwa ni pamoja na adhabu ya ...
Kwa mujibu wa kanuni 17 (45) za Ligi Kuu Bara, timu mgeni ina haki ya kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mechi angalau mara moja kabla ya siku ya mechi katika muda tarajiwa wa mchezo husika.