资讯

Licha ya shinikizo kutoka kwa uongozi wa kijeshi, kundi la askari wa akiba karibu 1,000 wa Israeli wanalaani vita visivyoisha huko Gaza. Wameweka hadharani barua yao siku ya Alhamisi hii ...