资讯
Arsenal imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya tatu katika historia ya klabu hiyo baada ya kuwachabanga Real Madrid kwa matokeo ya jumla ya 5-1, kufuatia ushindi wa 2-1 ugenini ...
Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kuweka ushuru kwa bidhaa zinazotoka nchi mbalimbali ulimwenguni imezua taharuki kubwa ya kibiashara na uchumi nchini Marekani na kwingineko ulimwenguni ...
Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Amend Tanzania, imezindua rasmi awamu ya pili ya kampeni ya ‘Be Road Safe Africa’, mpango wa kimkakati wa usalama barabarani ...
Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ameishutumu Denmark kwa kushindwa kuilinda Greenland kiusalama. Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ameishutumu Denmark kwa kushindwa kuilinda Greenland ...
Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema serikali ya Lebanon inawajibika moja kwa moja kwa mashambulizi yoyote yanayoelekezwa katika eneo la Galilaya. Shambulio hilo dhidi ya Israel ...
Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Abdallah Ramadhan Mnolwa (24) kutoka Iringa kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo. Hayo yameelezwa leo, Jumatatu Aprili 14, 2025 na Kaimu ...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ambao mwaka jana uliripotiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuwa uko hatarini kufisilika, umeimarika. Wakati Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia ...
MARSEILLE, UFARANSA: MSHAMBULIAJI wa Marseille, Mason Greenwood huenda akatimkia Saudi Arabia katika dirisha la majira ya kiangazi baada ya matajiri hao kuweka mezani Euro 90 milioni kwa ajili ya ...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imetoa adhabu kali kwa timu za MC Alger na Esperance kutokana na vurugu za mashabiki, wachezaji na maofisa wao ugenini katika mechi za hatua ya robo fainali ...
MADRID, HISPANIA: LIGI ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo kwa michezo miwili ya robo fainali kupigwa, lakini mechi inayotarajiwa kutazamwa zaidi na watu wengi ni ile kati ya Arsenal na Real Madrid ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR leo limeonya kwamba ukosefu wa ufadhili unaweza kuhatarisha maendeleo yaliyopatikana ikiwemo kurejea nyumbani kwa mamilioni ya watu. Katika ...
Hatua ya RSF inakuja wakati huu mapigano nchini Sudan yakiingia katika mwaka wake wa pili, mzozo ambao umepelelekea kutokea kwa mojawapo ya hali mbaya zaidi ya kibinadamu duniani. Kulingana na ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果