资讯

Arsenal imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya tatu katika historia ya klabu hiyo baada ya kuwachabanga Real Madrid kwa matokeo ya jumla ya 5-1, kufuatia ushindi wa 2-1 ugenini ...
Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kuweka ushuru kwa bidhaa zinazotoka nchi mbalimbali ulimwenguni imezua taharuki kubwa ya kibiashara na uchumi nchini Marekani na kwingineko ulimwenguni ...
Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Amend Tanzania, imezindua rasmi awamu ya pili ya kampeni ya ‘Be Road Safe Africa’, mpango wa kimkakati wa usalama barabarani ...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ambao mwaka jana uliripotiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuwa uko hatarini kufisilika, umeimarika. Wakati Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia ...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imetoa adhabu kali kwa timu za MC Alger na Esperance kutokana na vurugu za mashabiki, wachezaji na maofisa wao ugenini katika mechi za hatua ya robo fainali ...
Neno mama limetajwa katika Qur’an mara 28 kwa tamko la umoja na wingi. Kawaida, neno hili linapotajwa katika Qur’an hutangamana na msamiati unaoelezea hali halisi ya umama, iwe ya kibiolojia au ya ...
MADRID, HISPANIA: LIGI ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo kwa michezo miwili ya robo fainali kupigwa, lakini mechi inayotarajiwa kutazamwa zaidi na watu wengi ni ile kati ya Arsenal na Real Madrid ...
Hatua ya RSF inakuja wakati huu mapigano nchini Sudan yakiingia katika mwaka wake wa pili, mzozo ambao umepelelekea kutokea kwa mojawapo ya hali mbaya zaidi ya kibinadamu duniani. Kulingana na ...
SPAIN — Klabu ya Arsenal imeandika historia tena baada ya kufuzu nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya tatu katika historia yake. Hii ni baada ya kuifunga Real Madrid mabao 2-1 katika ...
Vita ya sudan Kuingia katika mwaka wa tatu wiki hii, Kenya yatangaza marufuku ya biashara ya figo baada ya ufichuzi, rais wa zamani wa DRC arejea nchini aliwasili mjini Goma huku Marekani ikiitaka ...