Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemhukumu mfanyabiashara Hamis Luwongo, kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mke wake wa ndoa, Naomi Marijani. Uamuzi huo ...
Ingawa taarifa ya utenguzi wa Makamba ya Julai mwaka jana haikuhusisha sababu ya uamuzi huo wa mamlaka ya uteuzi, alichokisema Rais Samia leo kinaashiria msamaha kwa mwanasiasa huyo. Utenguzi wa ...