Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman. Dar es Salaam. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema kitendo cha kuzuiliwa kwa saa nane na mamlaka za Angola ni ...
Moshi. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Erasto Mollel (32) kwa kosa la kumuua mpenzi wake, Josephine Mngara (30) kwa kumpiga na jembe kichwani, kisha ...
Kwa zaidi ya masaa mawili, Simba ilikosa kupata fumbuzi wa changamoto hiyo. Jumamosi mchana saa sita, bodi ya ligi ilitoa taarifa ya kuahirisha mechi huku ikidai kufanya uchunguzi zaidi kabla ya ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa kutoa wito wa kuchukua hatua kali kwa ajili ya usawa wa kijinsia, akionya kuwa haki za wanawake ...
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO, leo limeonya kwamba kupunguzwa kwa ufadhili hasa wa Marekani kunatishia mafanikio ya miongo kadhaa katika mapambano dhidi ya kifua kikuu au TB, ambao ...