资讯
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza vigezo sita kwa asasi na taasisi za kiraia zenye nia ya kutoa elimu ya mpiga kura kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Dar es Salaam. Mwenyikiti wa Chama ...
Makundi zaidi ya 100 ya mashirika ya kiraia na vyama vya siasa nchini Mali, vimeutuhumu utawala wa kijeshi kwa kujaribu kuwaminya kama ilivyofanyika kwenye mataifa jirani ya Burkina Faso na Niger.
Kwa sababu katika enzi hii ya Trump 2, Ikulu ya White House inachagua kutofuata maamuzi ya mahakama na majaji wawili sasa wanatishia ikiwa utawala wa shirikisho utaendelea kukiuka maamuzi yao ...
Marekani. Ndivyo tunavyoweza kusema kufuatia mwanamuziki wa Canada, Justin Bieber (31) anayefanya shughuli zake nchini Marekani kuendelea kuandamwa na mambo ambayo yanatishia hatima ya sanaa yake na ...
Manchester City wanatazamia kufufua shauku yao ya kumnunua kiungo wa kati wa Newcastle na Brazil Bruno Guimaraes, 27, wakati wanajiandaa kuondoka kwa Mbelgiji Kevin de Bruyne, 33. (UOL esporte ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita imewahukumu kunyongwa hadi kufa watu watatu wa familia moja kwa kosa la mauaji ya ndugu yao, Joyce Ruhedeka, kwa kumcharanga mapanga, kumnyofoa sehemu za siri na ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果