Szabo anakadiria kuwa zaidi ya washindani 9 kati ya 10 katika Indigo Invitational, ambayo imeadhimisha mwaka wake wa nne mwezi Januari, walifua suruali zao kwa mara ya kwanza baada ya kuvaa mara ...
Brent Dmitruk anajiita mtabiri wa matetemeko ya ardhi. Mnamo katikati ya Oktoba, alieleza kwa wafuasi wake maelfu kadhaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba tetemeko la ardhi lingepiga sehemu ya ...
Uwekezaji duniani tangu mwaka 2000 katika mbinu za kusongesha uhai wa mtoto kumewezesha kupungua kwa zaidi ya asilimia 50 kwa vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya miaka mitano, ...
Dar es Salaam. Wakati wanaume wakiona ni wajibu kutoa zawadi kwa wanawake, wao wanasema hilo linatokana na utamaduni uliojengeka kwa muda, hivyo kuwa kama mazoea. Mbali ya hilo, baadhi ya wanawake ...
Janet amesema matarajio ni mengi “Kwa sababu maana nzima ya kuitisha huu mkutano safari hii ni kuffanya tathimini ya tumefikia wapi katika yale malengo yaliyokubalika Beijing mwaka 1995. Ameendelea ...
Mvuvi, Festo Wille, amesema kipindi hiki kuna ongezeko kubwa la maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mara kwa mara, hali ambayo imesababisha upatikanaji wa samaki na dagaa kuwa mgumu. "Unajua ...
Kwa zaidi ya masaa mawili, Simba ilikosa kupata fumbuzi wa changamoto hiyo. Jumamosi mchana saa sita, bodi ya ligi ilitoa taarifa ya kuahirisha mechi huku ikidai kufanya uchunguzi zaidi kabla ya ...
Wapiganaji wawili kutoka Movement for the Salvation of Azawad (MSA, wanaounga mkono utawala wa kijeshi) wameuawa siku ya Jumamosi, Machi 22, 2025, kwa kilipuzi kilichotegwa barabarani katika eneo ...