资讯

Na ndipo tunapoanzia: Simba SC imeshinda bao 1-0 dhidi ya timu hiyo ya Afrika Kusini. Lakini kwa mashabiki wengi wa soka, huu ni ushindi wenye ladha ya kushindwa. Ushindi ambao unaficha udhaifu ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza vigezo sita kwa asasi na taasisi za kiraia zenye nia ya kutoa elimu ya mpiga kura kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani ...
Kwa sababu katika enzi hii ya Trump 2, Ikulu ya White House inachagua kutofuata maamuzi ya mahakama na majaji wawili sasa wanatishia ikiwa utawala wa shirikisho utaendelea kukiuka maamuzi yao ...
Neno mama limetajwa katika Qur’an mara 28 kwa tamko la umoja na wingi. Kawaida, neno hili linapotajwa katika Qur’an hutangamana na msamiati unaoelezea hali halisi ya umama, iwe ya kibiolojia au ya ...
Manchester City wanatazamia kufufua shauku yao ya kumnunua kiungo wa kati wa Newcastle na Brazil Bruno Guimaraes, 27, wakati wanajiandaa kuondoka kwa Mbelgiji Kevin de Bruyne, 33. (UOL esporte ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita imewahukumu kunyongwa hadi kufa watu watatu wa familia moja kwa kosa la mauaji ya ndugu yao, Joyce Ruhedeka, kwa kumcharanga mapanga, kumnyofoa sehemu za siri na ...
Hatua ya RSF inakuja wakati huu mapigano nchini Sudan yakiingia katika mwaka wake wa pili, mzozo ambao umepelelekea kutokea kwa mojawapo ya hali mbaya zaidi ya kibinadamu duniani. Kulingana na ...
Bunge hilo la 12 ambalo uhai wake utagota Juni 27, 2025 kwa Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia na kulivunja, kwa sasa wabunge wanajadili hotuba mbalimbali za wizara. Tamisemi ni moja ya wizara ...