资讯

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Mwanza, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza DCP Wilbrod Mutafungwa amesema tukio hilo lilitokea Machi 21 katika ...
Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Amend Tanzania, imezindua rasmi awamu ya pili ya kampeni ya ‘Be Road Safe Africa’, mpango wa kimkakati wa usalama barabarani ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR leo limeonya kwamba ukosefu wa ufadhili unaweza kuhatarisha maendeleo yaliyopatikana ikiwemo kurejea nyumbani kwa mamilioni ya watu. Katika ...
Simba SC ilipindua matokeo ya kipigo cha 2-0 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Al Masry kwa ushindi wa 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, na baadaye kushinda kwa mikwaju ya ...
Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump ya Aprili 9 ilipunguza wasiwasi kuhusu kupungua kwa kasi ya ukuaji uchumi wa dunia. Kipimo cha hisa cha Nikkei 225 kilipanda kwa zaidi ya alama 2,800 au ...
Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kime wataka baadhi ya viongozi kuacha tabia ya kuwagombanisha Wazanzibar na kusababisha kuuana kwa kisingizio cha Uchaguzi. Kimewataka viongozi hao kuacha mara moja ...
Kundi lingine linadai Simba kali ni ile ya 1979 iliyopindua meza kibabe katika michuano ya CAF kwa kushinda 5-0 ugenini huko Zambia baada ya awali kulala 4-0 nyumbani. Lakini, kuna wengine wanasema ...
Shambulizi hilo limetokea wakati pande zote mbili hasimu wanamgambo wa Hamas na Israel wakithibitisha kupokea pendekezo jipya kutoka kwa wapatanishi likinuiwa kusitisha mashambulizi wakati wa siku ...
Waasi wa M23 wamekubaliana na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC, juu ya kuondoka kwa vikosi vyake kutoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Waasi wa M23 wamekubaliana na ...
Diabetes Ketoacidosis au kwa kifupi DKA, ni hali hatari inayotokea watu wenye ugonjwa wa kisukari, hasa aina ya kwanza. DKA hutokea pale ambapo mwili hauna insulini ya kutosha, na kuacha kutumia ...