资讯
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Gereza la Ukonga amegoma kuendelea na kesi ya tuhuma za kusambaza taarifa za uongo mtandaoni kwa njia ya mtandao ...
WATANZANIA wametakiwa kuendelea kuchangia damu kwa hiyari, kutokana na mahitaji makubwa yaliyopo, ili kuokoa wahitaji wakiwamo majeruhi, wajawazito na watoto. Aidha wananchi wametolewa hofu kuwa ...
IRINGA: KATIKA taifa linalojivunia misingi ya usawa na haki kwa wote, bado kuna maswali mengi kuhusu nafasi ya watu wenye ulemavu katika maendeleo ya jamii. Mwenyekiti wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu ...
Na ndipo tunapoanzia: Simba SC imeshinda bao 1-0 dhidi ya timu hiyo ya Afrika Kusini. Lakini kwa mashabiki wengi wa soka, huu ni ushindi wenye ladha ya kushindwa. Ushindi ambao unaficha udhaifu ...
Usajili wa straika huyo kutoka Uruguay uliripotiwa kuwa na thamani ya Pauni 85 milioni kama ada ya uhamisho, lakini kiasi cha pesa kinalipwa kwa vipengele ikitegemea na kiwango cha mchezaji. Inaelezwa ...
Lusajo alifunga bao hilo dakika ya 42, akiunganisha kwa kichwa kona iliyopigwa na Abdul Suleiman ‘Sopu’ na kuisawazishia Azam baada ya Hijjah Shamte kuitanguliza Kagera dakika 26, kisha Idd Seleman ...
"Ningeshangaa ikiwa mazungumzo haya yalifanyika," Waziri wa Fedha ameongeza. Kwa mujibu wa jarida la Wall Street Journal, ambalo linanukuu vyanzo vilivyo karibu na suala hilo, utawala wa Trump ...
Hilo ndilo onyo kutoka kwenye ripoti mpya ya Mkakati wa Spotlight wa Umoja wa Mataifa, ambao umebaini kuwa mabadiliko ya tabianchi yanazidisha msongo wa kijamii na kiuchumi unaochochea kuongezeka kwa ...
Kwa kiwango alichokionyesha akiwa na dakika chache ukilinganisha na nyota ambao wanafanya vizuri kwenye eneo hilo kama Clement Mzize na Prince Dube wa Yanga na Charles Ahoua anayekipiga Simba, ni wazi ...
Akiwa msichana, alikuwa mzinzi na alipenda ngono. Lakini baada ya kuukataa ulimwengu na kukaa uchi kwa miaka 47 jangwani, mwanamke huyo mwenye ngozi nyeusi akawa mwalimu mwenye hekima na mwadilifu ...
Tanasha, mwanamuziki na mwanamitindo kutoka Kenya, jina lake lilitakata Afrika Mashariki kufuatia kushirikiana na Diamond katika wimbo ‘Gere’ kutoka katika EP yake, DonnaTella (2020) ambao ulivuma kwa ...
Ukraine na Urusi, zimelaumiana kwa kuvunja mkataba wa saa 30 wa kusitisha vita kipindi cha Pasaka, mpango uliotangazwa na rais Vladimir Putin, Jumamosi iliyopita. Rais Volodymyr Zelensky ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果