资讯
WATANZANIA wametakiwa kuendelea kuchangia damu kwa hiyari, kutokana na mahitaji makubwa yaliyopo, ili kuokoa wahitaji wakiwamo majeruhi, wajawazito na watoto. Aidha wananchi wametolewa hofu kuwa ...
Biashara ya kimataifa inaweza kupungua kwa asilimia 3 kutokana na hatua mpya za ushuru zilizochukuliwa na Marekani ambazo kwa muda mrefu zinaweza kubadili na kuimarisha uhusiano wa kibiashara wa ...
Marekani. Ndivyo tunavyoweza kusema kufuatia mwanamuziki wa Canada, Justin Bieber (31) anayefanya shughuli zake nchini Marekani kuendelea kuandamwa na mambo ambayo yanatishia hatima ya sanaa yake na ...
"Tulikuwa tukitambaa chini," anakumbuka tukio hilo, akiwa amemshikililia mwanawe wa kiumme kwa karibu. "Ilikuwa vurugu." Bi Williams, 33, ni mama wa watoto watano kutoka nchini Sudan Kusini.
Wakati Wakristo leo wakiadhimisha mateso na kifo cha Bwana Yesu Kristo, wamekumbushwa kuwa na tumaini, upendo, umoja pamoja na mshikamano. Akizungumza kuhusu siku hii alipozungumza na Mwananchi kwa ...
Hiyo inatokea, huku wanawake wakionekana ndio waliobeba mzigo mkubwa wa kuhakikisha familia zinapata maji ya matumizi ya kila siku. Ukweli huo unaotolewa kwa namna ya uchungu na Flora Masanja, mkazi ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果