资讯

Manchester City wanatazamia kufufua shauku yao ya kumnunua kiungo wa kati wa Newcastle na Brazil Bruno Guimaraes, 27, wakati wanajiandaa kuondoka kwa Mbelgiji Kevin de Bruyne, 33. (UOL esporte ...
WATANZANIA wametakiwa kuendelea kuchangia damu kwa hiyari, kutokana na mahitaji makubwa yaliyopo, ili kuokoa wahitaji wakiwamo majeruhi, wajawazito na watoto. Aidha wananchi wametolewa hofu kuwa ...
Biashara ya kimataifa inaweza kupungua kwa asilimia 3 kutokana na hatua mpya za ushuru zilizochukuliwa na Marekani ambazo kwa muda mrefu zinaweza kubadili na kuimarisha uhusiano wa kibiashara wa ...
Makundi zaidi ya 100 ya mashirika ya kiraia na vyama vya siasa nchini Mali, vimeutuhumu utawala wa kijeshi kwa kujaribu kuwaminya kama ilivyofanyika kwenye mataifa jirani ya Burkina Faso na Niger.
Nottingham Forest na Newcastle zote zinavutiwa na mshambuliaji wa Liverpool na Uruguay Darwin Nunez, 25, ambaye kuna uwezekano mkubwa wa akaondoka Anfield. (Teamtalk) Msako wa Liverpool kumnasa ...
Kwa sababu katika enzi hii ya Trump 2, Ikulu ya White House inachagua kutofuata maamuzi ya mahakama na majaji wawili sasa wanatishia ikiwa utawala wa shirikisho utaendelea kukiuka maamuzi yao ...
Marekani. Ndivyo tunavyoweza kusema kufuatia mwanamuziki wa Canada, Justin Bieber (31) anayefanya shughuli zake nchini Marekani kuendelea kuandamwa na mambo ambayo yanatishia hatima ya sanaa yake na ...
Hiyo inatokea, huku wanawake wakionekana ndio waliobeba mzigo mkubwa wa kuhakikisha familia zinapata maji ya matumizi ya kila siku. Ukweli huo unaotolewa kwa namna ya uchungu na Flora Masanja, mkazi ...
Bunge hilo la 12 ambalo uhai wake utagota Juni 27, 2025 kwa Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia na kulivunja, kwa sasa wabunge wanajadili hotuba mbalimbali za wizara. Tamisemi ni moja ya wizara ...