Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), lililokutana leo baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa chama hicho, limemthibitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama. Jana, CHADEMA ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyemaliza muda wake, Freeman Mbowe ametoa maagizo mawili kwa uongozi mpya wa chama hicho chini ya mwenyekiti mpya Tundu Lissu ...
Alikabidhiwa kwa FLA siku ya Jumapili jioni katika eneo la Ezdjarat, karibu kilomita mia moja kaskazini mwa Ménaka. Waasi hao kisha wanadai kumrejesha, jana Jumatatu, katika kambi ya FLA huko ...
Marekani ni Taifa namba moja kwa ukubwa wa uchumi duniani, pato lake la taifa ni kubwa karibu mara kumi zaidi ya pato zima la bara la Afrika, sarafu yake (Dola ya Marekani) inatumiwa kwa karibu ...
Philémon Yang Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo ameorodhesha maeneo makuu ya shughuli na matukio ya ngazi ya juu kwa mwaka huu wa 2025 akisema kuwa lugha mbalimbali na uwezeshaji wa wanawake ...