Mkuu wa vikosi vya Ulinzi vya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema Uganda inatoa saa 24 vikosi vyote vilivyopo ...
VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), ...
Kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu sasa, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kumekosa utulivu na kushuhudiwa mauaji ya kutisha baina ya vikundi vinavyopingana na Serikali.
Umbali kutoka Bukavu mpaka Goma, kwa barabara ni kilometa 193.9. Ni miji mwili, mmoja upo ncha ya Kusini ya Ziwa Kivu na ...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji muhimu wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma... lakini je, M23 kuiteka Goma pamoja na miji na vijiji vingine katika majimbo y ...
Soma pia: Waasi wa M23 waingia Goma Baadhi ya wanajeshi wa Kongo walijisalimisha kwa vikosi vya ulinzi vya Umoja wa Mataifa baada ya muda wa mwisho wa waasi wa M23, huku wengine wakikimbia kwa ...
DAR ES SALAAM: AZIMIO la kuwaunganishia umeme Waafrika milioni 300 linatarajiwa kusainiwa nchini kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika ‘Mission 300’ unaoendelea leo na kesho Januari 28 ...