Kiungo wa Yanga, Stephane Aziz Ki ametoa ahadi ya kumpa zawadi, Waziri wa Madini na Mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Klabu hiyo, Anthony Mavunde katika siku ya mchezo wao dhidi ya Simba kwenye Uwanja ...