Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa kuongezeka barabarani na kwa Kenya, mradi wa Tusonge na EVs , unaosimamiwa na shirika la umoja wa mataifa la mazingira, UNEP, ulizinduliwa miezi tisa iliyopita.
Lakini barani Ulaya, ni mtu mmoja tu amefariki katika kipindi cha miaka 40, na mmoja nchini Marekani,baada ya kurejea kutoka katika safari ya kuzuru mapango nchini Uganda. Popo wa matunda aina ya ...
Mkutano wa viongozi wa Afrika kuhusu nishati ukipatiwa jina Mission 300 umekunja jamvi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa kuzindua Mikataba ya Nishati ya Kitaifa kutoka nchi 12 za barani Afrika, ...
Chanzo cha picha, AFP Rais wa Kenya William Ruto ameangazia kuzorota ... 25% kwa bidhaa zote za Colombia baada ya rais wake kuzuia safari mbili za ndege za jeshi la Marekani kutua nchini humo ...