Maafisa wa chama cha PPRD, chama cha rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila Kabange, wameitishwa mbele ya mahakama za kijeshi.
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila anaanza marekebisho ya chama chake cha kisiasa, PPRD. Hatua ...
Kundi la kabila dogo lenye silaha nchini Myanmar linaloitwa BGF, linasema limewaokoa raia wa kigeni zaidi ya 7,000 kutoka kwenye vituo vya ulaghai.
Wanajeshi hao waliondoka Goma na kuvuka mpaka na kuingia Rwanda kuelekea Kigali kwa ajili ya kupata ndege za kuwarejesha makwao.
DRC: RAIS wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila amesema kuwa uongozi mbaya wa mrithi wake, Rais Felix Tshisekedi umechangia kuzidisha mzozo unaoendelea mashariki mwa nchi hiyo.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果