Ikiwa na harufu nzuri, bia baridi ni kinywaji kinachogusa hisia zetu zote. Lakini jinsi hali ya hewa inavyobadilika, ndivyo pia ladha ya mojawapo ya vinywaji maarufu zaidi duniani inavyopungua.
Siri ya kuhisi vizuri baada ya usingizi mzuri wa usiku inaweza kuwa katika kuamka. Hapa kuna mbinu tano na vidokezo juu ya jinsi ya kuboresha ... ni pamoja na nyama, samaki, na mayai, wakati ...
Wananchi ni wepesi wa kufuatilia kuona kama misimamo hiyo inabaki ileile kabla na baada ya wao kushika nafasi fulani,” anasema. Dk Kristomus anasema jamii huangalia namna wanavyosimamia misimamo yao ...
Zingatia kutunza na kutengeneza Nywele ziwe za tofauti na ulivyozoea kuweka ili iweze kuweka staili tofauti na kwenye ubora unaotakiwa.Kwanza kabisa unatakiwa kutunza Nywele zako kwa kuosha na ...
Tangu zama za awali mpaka sasa,jamii ya Dunia imekuwa ikipitia maisha ya kila namna yenye uzuri na ubaya wake ndani.Vizazi kadhaa vimepita vya Wanadamu huku vikiridhishana tamaduni mbalimbali ndani ...
Dar es Salaam. Miongoni mwa watu wanaopata wakati mgumu kuacha uraibu ni pamoja na wavutaji wa sigara na shisha. Wavutaji maarufu wa sigara duniani wamewahi kukiri kuwa, wasingethubutu kujiingiza ...
Wapo ambao wamekuwa wakituhumiwa na matumizi potofu ya vyandarua, katika ufugaji vifaranga vya kuku wasiweze kuliwa na kunguru na wanyama wengine. Aidha, hiyo inatajwa kushamiri zaidi katika ukanda na ...
SERIKALI imeagiza taasisi zikiwemo shule zenye wanafunzi zaidi ya 100 ziache kutumia kuni na mkaa ifikapo Juni mwaka huu. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa agizo hilo wilayani Maswa katika Mkoa wa ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
MANCHESTER, ENGLAND: HAKUNA namna, lazima tubadilike. Ndivyo anavyosema Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, huku akiwataka nyota wenzake kuonyesha kweli wana ujasiri wa ‘kuchezea timu hiyo’ ...
“Bado uelewa wa wananchi wetu ni mdogo kuhusu masuala ya ardhi. Ni namna gani mtu atwae ardhi, namna gani inaweza kuhamishwa ardhi kwenda kwa mtu mwingine. Mingine inasababishwa na vurugu tu, kati ya ...