Rais wa Congo Félix Tshisekedi anataka kurudisha ardhi aliyoipoteza kwa waasi, ikiwemo mji mkubwa wa mashariki wa Goma, na kuzuia waasi hao kuchukua zaidi. Anamshutumu Rais wa Rwanda Paul Kagame ...
Ikiwa na harufu nzuri, bia baridi ni kinywaji kinachogusa hisia zetu zote. Lakini jinsi hali ya hewa inavyobadilika, ndivyo pia ladha ya mojawapo ya vinywaji maarufu zaidi duniani inavyopungua.
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Kahama, Stanley Luhwago amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia Februari 5, 2025 akieleza mwanafunzi huyo alifariki dunia papo ...
Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), lililokutana leo baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa chama hicho, limemthibitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama. Jana, CHADEMA ...