资讯

Lusajo alifunga bao hilo dakika ya 42, akiunganisha kwa kichwa kona iliyopigwa na Abdul Suleiman ‘Sopu’ na kuisawazishia Azam baada ya Hijjah Shamte kuitanguliza Kagera dakika 26, kisha Idd Seleman ...
WATANZANIA wametakiwa kuendelea kuchangia damu kwa hiyari, kutokana na mahitaji makubwa yaliyopo, ili kuokoa wahitaji wakiwamo majeruhi, wajawazito na watoto. Aidha wananchi wametolewa hofu kuwa ...
Na ndipo tunapoanzia: Simba SC imeshinda bao 1-0 dhidi ya timu hiyo ya Afrika Kusini. Lakini kwa mashabiki wengi wa soka, huu ni ushindi wenye ladha ya kushindwa. Ushindi ambao unaficha udhaifu ...
Hilo ndilo onyo kutoka kwenye ripoti mpya ya Mkakati wa Spotlight wa Umoja wa Mataifa, ambao umebaini kuwa mabadiliko ya tabianchi yanazidisha msongo wa kijamii na kiuchumi unaochochea kuongezeka kwa ...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira,amepokelewa kwa kishindo mkoani Shinyanga. Mapokezi hayo yamefanyika leo Machi 26,2025,wakati alipowasili mkoani humo kwa ...
Kwa miaka mitatu, kiongozi huyo wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani amefunguliwa mashtaka kwa tuhuma za ubadhirifu wa karibu dola milioni 200 zilizokusudiwa kwa mradi wa Hifadhi ya Chakula ya ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Dar es Salaam. Mwenyikiti wa Chama ...
Sikukuu hii ya kusherehekea kufufuka kwa Yesu Kristo hufanyika baada ya kumalizika kipindi cha majuma sita ya Kwaresma. Kufuatia sikukuu hiyo ya Pasaka watu hufanya maandalizi ya kusherekea siku hiyo ...
Kwa sababu katika enzi hii ya Trump 2, Ikulu ya White House inachagua kutofuata maamuzi ya mahakama na majaji wawili sasa wanatishia ikiwa utawala wa shirikisho utaendelea kukiuka maamuzi yao ...
Manchester City wanatazamia kufufua shauku yao ya kumnunua kiungo wa kati wa Newcastle na Brazil Bruno Guimaraes, 27, wakati wanajiandaa kuondoka kwa Mbelgiji Kevin de Bruyne, 33. (UOL esporte ...