Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana, amewataka maofisa elimu na watendaji wa sekta hiyo kuhakikisha wanaendana na mabadiliko ya utekelezaji wa mtaala mpya wa masomo ulioanza kutumika ...
Jana, CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wa kupata viongozi wake wa kitaifa, ambapo Tundu Lissu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho, na John Heche akachaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti. Nipashe ...
Safari za anga za ndege kubwa katika Kiwanja cha Ndege cha Iringa zinatarajiwa kurejea tena rasmi Februari 22 mwaka huu, baada ya kusitishwa kwa zaidi ya miaka nane ili kupisha upanuzi na ukarabati wa ...
UNAKUMBUKA mabao matatu ya hivi karibuni aliyofungwa Yanga? Sasa kocha wa timu hiyo Hamdi Miloud ameona usinchezee. Ameamua kufanya uamuzi wa haraka ili kunusuru jahazi hilo na misukosuko haswa ...
MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa kushirikiana na wananchi ambayo itaondoa adha ya wananchi hao kutembea umbali ...
Wakati mkewe Sylvia na mtoto wao wa kiume Noureddin wakiwa bado korokoroni, rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo Ondimba ameamua kuanzisha mgomo mpya wa kula ili kupinga kuendelea kuzuiliwa licha ya ...
Mkali huyu wa Hip-hop anayeshikilia rekodi ya kuwa na albamu nyingi zaidi kati ya wasanii wa muziki huo na akishika namba tatu kati wa wasanii Bongo wenye albamu nyingi tayari ameachia Sauti ya Jogoo ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
Serikali imetangaza nafasi 15 za ajira mpya katika kada za ujenzi na mifugo, ambapo mwisho wa kutuma maombi ni Februari 28, 2025. Wanaobaki njiapanda, ni makada ambao kwa namna moja au nyingine wana ...
KIUNGO mpya wa JKT Queens, Elizabeth John amesema anatamani kufanya makubwa akiwa na timu hiyo kutokana na ubora wa timu hiyo. Kinda huyo alipewa mkono wa kwaheri na Alliance Girls aliyoitumikia kwa ...