Hadi sasa, kujiunga kwa kundi la kujilinda la Twirwaneho kwa AFC/M23, inayoungwa mkono na Rwanda, kilikuwa hakijafanywa rasmi. Mnamo Februari 21, muungano wao ulitangazwa katika taarifa kwa vyombo ...
Geneva. Mgogoro unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umechukua sura mpya baada ya Rwanda kuishtakia Serikali ya Rais Felix Tshisekedi kuwa inatekeleza mauaji ...