资讯

Reta ntishobora kurera amaboko ngo irabire gusa ibintu n'abantu biriko birasamburwa n'abafasha abari mu myiyerekano - nk'uko ...
Rais wa Kenya William Ruto ameapa kutumia ''mbinu zozote zinazohitajika'' kuhakikisha amani na utulivu inadumishwa nchini.
Miaka miwili na nusu baada ya kuingia madarakani Rais wa Kenya, William Ruto anakabliwa na shinikizo za kujiuzulu au ...
RAIS wa Kenya William Ruto ametoa onyo kali kwa wale anaoamini kwamba wanapanga kuiangusha serikali yake, akiachana na wito ...
Waandamanaji nchini Kenya wameingia mitaani, wakidai Rais William Ruto ajiuzulu. Maandamano yalifanyika sehemu nyingi za nchi hiyo Julai 7, yakisababisha makabiliano na polisi. Picha za video ...
Vijana nchini Kenya maarufu kama Gen Z, wameendelea kuandamana dhidi ya serikali ya rais William Ruto. Maandamano haya ...
Rais William Ruto anakabiliwa na changamoto za kisiasa huku kizazi cha Gen Z kikiongoza maandamano ya kupinga gharama za maisha. Serikali yake sasa inakabiliwa na chaguo, kutumia nguvu au kusikiliza s ...
Gen-Z hao wa Kenya wamekuwa wakiandamana mara kadhaa wakipinga utawala wa Rais William Ruto, wakidai amewasaliti kwa kuwa, ...
Rais William Ruto RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto, amesema wale wanaoandamana wakimtaka ajiuzulu wanapuuza Katiba ya nchi, ambayo inaeleza wazi kuhusu muhula wa urais. “Hauwezi kuwa na zaidi ya hapo, ...
Vijana wa Kenya, maarufu Gen-Z wameanzisha chama chao cha siasa walichokipa jina la ’47 Voices of Kenya Congress’ ambacho ...
Kenya inaadhimisha siku ya kihistoria ya 'Saba-Saba' kwa maandamano ya kupinga serikali huku polisi wakifunga barabara kuzuwia maandamano hayo baada ya yale ya wiki iliyopita kukumbwa na vurugu.